utumishi

Nafasi ya kazi :- FIZIOTHERAPIA DARAJA LA II (PHYSIOTHERAPIST II) – 18 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Wizara ya Afya

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.    Kutoa tiba kwa kuzoeza viungo/ kwa vitendo.
ii.    Kukusanya na kutunza takwimu na taarifa za mgonjwa.
iii.    Kutunza vifaa vya Idara.
iv.    Kutoa elimu ya Afya kwa jamii kuhusu kutambua dalili na kuzuia ulemavu.
v.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Fiziotherapia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa kwa usajili wa kudumu (Full Registration Practitioners) na Baraza la Madaktari Tanganyika

APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related