Wizara ya Afya
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kufanya uchunguzi wa upeo wa kuona na kutibu
ii.Kurufaa wagonjwa kwenye ngazi za juu, zinazohitaji utaalamu zaidi
iii.Kutoa ushauri nasaha
iv.Kutunza na kurekebisha uharibifu wa vifaa vya macho
v.Kutengeneza miwani na kurekebisha miwani aina zote
vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya teknolojia ya macho kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Mabaraza yanayohusika.
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19
.