utumishi

Nafasi ya kazi :- MTOA TIBA KWA VITENDO II (OCCUPATIONAL THERAPIST) – 14 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Wizara ya Afya

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.    Kumchunguza mgonjwa ili kutambua na kupanga tiba kwa vitendo.  
ii.    Kutekeleza tiba kwa vitendo kwa mgonjwa.
iii.    Kukusanya na kutunza takwimu na taarifa za mgonjwa. iv.Kutunza vifaa vya Idara
iv.    Kutoa elimu ya Afya kwa jamii kuhusu kutambua dalili na kuzuia ulemavu.
v.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wenye Stashahada ya Mtoa tiba kwa Vitendo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related