TANGAZO LA ZABUNI YA UNUNUZI WA PAMOJA (BULK PROCUREMENT) WA VIUATILIFU, MABOMBA NA MAGUNIA KWA MSIMU WA MWAKA 2023/2024
LOT NAMBA 1: VIUATILIFU AUNIONS/ 2023
LOTI NAMBA 2: MAGUNIA /UNIONS/2023
LOTINAMBA 3° MABOMBA YA UPULIZIAJUUNIONS/2073
Tarehe 28/86/2022
1. Vyama Vikuu vya Ushirika vinevyohudumia wakulima wa zao la Korosho vya TANECU LTD, MAMCU, TAMCU LTD, RUNALI LTD, CORLCU LTD, na LINDI MWAMBAO LTD anatangaza Zabuni ya Ununuzi wa pamoja wa vouatillfu, mabombe na Maquina lwa maamu wa maka 202772024.
2. Kwaidhin ya Hod ya Vyama Vil hevyo, Mwonyebual wa kamati ya zabund ya ununuZzI wa pamoja anatangaza zabuni shindani shidani Kitaifa ( National Competitive Tendering -NCT) ya ununuzi wa pamoja (Bulk Procurement) ya viuastiiifu kwa ajiri ya matumizi ya msimu wa korosho kwa mwaka 2023/2024 kama ifuatavyo:-

3. Wanakaribishwa wazabunI wenye uwezo wa KUsambaza viuatiliifu, magunia na mabomba tajwa hapo juu kwenye jedwali,
4. Vifungashio vyote vya majiiimiminika viwekwe lkwanye kifungashio vya ujazo usio zindi nusu lita
5. Vuatiliifu vyote vinapaswa kuwa vimetengenezwa hivi karibuni na lazime viwe angalau na miaka miwili maisha ya rufani.
6.Mzabuni mmoja anaruhusiwa kuomba loti zaindi ya moja au sehemu ya loti endapo atakuwa amekidhi vingezo
7.Mchakato wa zabuni hii utafanyika kwa njia ya shidani ya Kitaifa (NCT) kwa mjibu wa kanuni za ununuzi wa umma ya mwaka 2013 na marekebisho yake ya 2016 na ni zabuni ya wazi kwa wazabuni wote wenye sifa stahiki.
8.Wazabuni wenye nia ya kushiriki wanakaribishwa ofisi ya katibu wa kamati ya ununuzi wa pamoja iliyoko wilaya ya Mtwara mtaa wa TANU barabara ya TANU.Jengo la Ushirika wa wakulima .Ofisi ya MAMCU LTD ghorofa ya pili kwa ajiri ya kuchukua kitabu cha zabuni (tender document) wakati wa saa za kazi kuazia saa mbili asubuhi (2:00AM) hadi saa kumi na nusu jioni (10:30pm) isipokuwa siku za jumapili pamoja na siku za sikuu.
9.Kitabu cha zabuni kitapatikana kwa kuandika barua kwa katibu wa ununuzi wa pamoja na kuomba kuuziwa kitabu cha zabuni (tender document) kwa gharama ya shilingi za kitanzania laki mbili tu (200,000) ambazo azitarudishwa na fedha zote zilipwe kupitia acount namba
JINA MAMCU LTD
AKAUNTI NAMBA 01J1015864703
BENKI YA CRDB TAWI LA MTWARA
10.Wazabuni wote wawasilishe zabuni zao katika nakala tatu (nakala halisi moja, na nakala moja,na nakala kivuli mbili )zikiwa zimefungwa kwa umakini na kuwekewa lakiri.Zabuni zote zitafunguliwa mara baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha.Tukio ambalo litakuwa la wazi kwa wazabuni au wawakilishi wa zabuni nao wanakaribishwa kuhudhuria.Mwisho wa kupokea ni siku ya 18/07/2022 saa nne asubuhi (04:00am) katika chumba cha mkutano MAMCU LTD Mjini Mtwara.
Maoni ya tumwe kwa anuani ifuatayo
katibu kamati ya ununuzi wa pamoja
MAMCU LTD
S.L.P 660
MTWARA
AU yapelekwe kwenye ofisi ya meneja mkuu wa MAMCU LTD iliyoko Mtwara Mjini jengo la ushirika wa wakulima ,mtaa wa TANU Road.
11.Zabuni zote lazima ziambatanishwe na dhamana (Baid Security in the form of Bank Guatantee) ya asilimia mbili (2%) ya dhamana ya zabuni .Uhai wa dhamana ni siku thelathini (30) baada ya mwisho wa uhai wa zabuni.
12.Zabuni zote zitakazochelewa hazitafikiriwa wakati wa tathimini bila sababu zozote za kuchelewa.
13.Zabuni zitakazotuma email,telegram au fax zabuni yake haitafikiriwa wala kufanyiwa kazi
Imetolewa na
MWENEYEKITI WA KAMATI YA UNUNUZI WA PAMOJA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VINAVYOHUDUMIA ZA KOROSHO