Ajira za Jeshi la Magereza.

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

 

TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

DOWNLOAD PDF DOCUMENT TO VIEW FULL DETAILS


Serikali imetoa kibali cha Ajira za Jeshi la Magereza. Hivyo, Kamishna Jenerali wa jeshi la Magereza, anatangaza nafasi za ajira mbadala 1,241 za kujiunga na jeshi kwa Mwaka 2022. Jeshi litaajiri kwa kuzingatia vigezo vinavyohitajika kulingana na maelekezo ya Serikali. Hivyo Waombaji wote wanaotaka kujiunga na Jeshi la magereza wanatakiwa wawe na sifa zilizoanishwa hapa chini: – 

a. Elimu Ya Kidato Cha Nne (Wasio Na Ujuzi

(1) Awe ni raia wa Tanzania (2) Awe amemaliza kidato cha Nne na kupata ufaulu wa daraja la1iv (3) Awe na umri kati ya miaka 1825 (4) Awe kwenye mafunzo katika Kambi za JKT au awe amefuzu tayari 

mafunzo ya jeshi la Kujenga Taifa (JKT) (5) Asiwe amewahi kuajiriwa Serikalini (6) Asiwe ameoa/kuolewa na Awe na siha njema (7) Awe hajawahi kupatikana na hatia katika makosa ya jinai 

(8) Urefu usiopungua futi 54″ (wanawake) na futi 57(wanaume) b. Elimu Ya Kidato Cha Nne (Wenye Ujuzi

(1) Awe ni raia wa Tanzania (2) Elimu ya kidato cha Nne (Wenye ujuzi 

Awe amehitimu Astashahada katika fani ya udereva wa Trekta toka  Chuo chenye usajili wa VETA na leseni ya udereva daraja G(4) Awe na umri kati ya miaka 1833 (5) Awe na siha njema 

DOWNLOAD PDF DOCUMENT TO VIEW FULL DETAILS


WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related