Nafasi ya kazi :- DEREVA DARAJA II

UTUMISHI_353.jpg

Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
4 Positions

Duties and Responsibilities
  1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  2. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  3. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  4. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  5. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  6. Kufanya usafi wa gari; na
  7. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

Qualifications
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 


Remuneration
TGS B

Application Period
03/12/2025 - 16/12/2025