Nafasi ya kazi :- DEREVA DARAJA II

UTUMISHI_450.jpg

Halmashauri ya Mji wa Handeni
2 Positions

Duties and Responsibilities

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  • Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  • Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  • Kufanya usafi wa gari; na
  • Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

Qualifications
  • Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration
TGS B

Application Period
19/01/2026 - 02/02/2026


APPLY NOW
https://portal.ajira.go.tz/view-advert/a85dXYnpvV38qG0PY9N58g%3D%3D