Nafasi ya kazi :- DEREVA II
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
5 Positions
Duties and Responsibilities
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbali mbali kwenye safari za kikazi;
- Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari;
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
- Kufanya usafi wa gari;
- Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na msimamizi wake.
Qualifications
- Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha Nne (Form IV) na leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali,pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na vyuo vyovyote vinavyotambuliwa na serikali.
RemunerationTGS BApplication Period07/02/2026 - 20/02/2026APPLY NOWhttps://portal.ajira.go.tz/view-advert/5oJH3aFFeAlBjuamMkIqLvjGw%3D%3D