Nafasi ya kazi :- MWALIMU DARAJA LA III C - HISABATI (MATHEMATICS)
MDAs & LGAs
709 Positions
Duties and Responsibilities
- Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
- Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
- Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
- Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
- Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
- Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
- Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule; na
- Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
Qualifications
- Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Hisabati
AU
- Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Hisabati pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
RemunerationTGTS- DApplication Period14/01/2026 - 28/01/2026APPLY NOWhttps://portal.ajira.go.tz/view-advert/UyT82%2B7czidjphyCvw4LQg%3D%3D