Nafasi ya kazi :- MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II

UTUMISHI_674.jpg

Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
4 Positions

Duties and Responsibilities

  1. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  2. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
  3. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  4. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  5. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  6. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  7. Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  8. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
  9. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications
  • Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration
TGS.C

Application Period
19/12/2025 - 01/01/2026


APPLY NOW
https://portal.ajira.go.tz/view-advert/FEZWwTXE4xRgiQVtOLgKBA%3D%3D