Nafasi ya kazi :- MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II)

UTUMISHI_681.jpg

Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
4 Positions

Duties and Responsibilities

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na za Siri;
  • Kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
  • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa maofisa walio katika Idara / Kitengo/ Sehemu husika, Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali;
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya Ofisi;
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications
  • Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha Nne au Sita mwenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA Level 6 ya Uhazili. Aidha, awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno100 kwa dakika moja na kupata program za Kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powerpoint, internet, email na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration
TGS C

Application Period
07/02/2026 - 20/02/2026

APPLY NOW
https://portal.ajira.go.tz/view-advert/l8yn8Hk%2BNNfaCVZlYI1zfw%3D%3D