
Nafasi ya kazi :- MHUDUMU WA JIKONI DARAJA II – 1 POST
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kusafisha vyombo vya kupikia ii.Kusafisha vyombo vya kulia chakula iii.Kusafisha sehemu ya kulia chakula iv.Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa