Job Description
KAZI : KUKAGUA NA KUSIMAMIA MALINDO
KAMPUNI YA ULINZI INATAFUTA
WAKAGUZI WA MALINDO
SIFA ZA MUOMBAJI:
1.AWE NA UZOEFU KAZI ZA ULINZI ANGALAU
MWAKA MMOJA
2.AWE ANAJUA KUENDESHA PIKI PIKI VIZURI.
3. AWE NA ELIMU KUANZIA KIDATO CHA
Tuma maombi yako www.ajirazetu.tz AU Tuma Cv yako kwa WhatsApp Namba hii 0677048600
Mwisho wa maombi ni
September 17, 2023
closed.