handsome-elegant-man-car-salon_1157-30216

MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA KAMA IVECO, SCANIA P420, 93,94, BENZ, FUSO NASEMI TRAILER NAFASI 16 na GARI NDOGO PAMOJA NA TATA NAFASI 5

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Sifa za mwombaji

1 Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving
Certificate) kutoka VETA au chuo chochote kinachotambuliwa na serikari.

2 Awe na leseni ya udereva kulingana na magari yaliyoorodheshwa hapo juu.

3 Awe na uzoefu katika kazi ya udereva kwa kipindi kisichopungua miaka 10
mfululizo.

4 Awe amesajiliwa na Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) mwenye kadi
au namba ya usajili.

5 Awe na cheti cha uhakiki wa leseni (PSV Certificate)

Mshahara
Waombaji watakaopata nafasi ya kuajiriwa watalipwa mshahara kuanzia kiasi cha
Tsh. 400,000/= kwa mwezi. Posho za safari zitatolewa kulingana na taratibu za
ndani za kampuni.

Tuma barua yako ya maombi ikiwa na vielelezo vyote kuonesha uzoefu wako wa
kazi kupitia WhatsApp 0768614398 au tuma kupitia [email protected]

Kwa mawasiliano piga simu 0768614398 HR

Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 15.10.2023

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related