MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO NA
VITENDO ULIOFANYIKA TAREHE 04-12-2021 KADA ZA OSHA,TANESCO, NHC, ULANGA
DC & SOLICITOR GENERAL
Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea
na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama
ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
- Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
- Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
- Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao