Crude-oil-eacop

MWITO WA KUWASILISHA OMBI LA ZABUNI YA Huduma za Rasilimali Watu. MAREJEO: 10013-EOI-GAC EI-TZ-GEN_HR

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Mkandarasi EITS (Electrical Instrumentation and Telecommunications Systems) wa mradi wa
EACOP, anakaribisha mashirika yenye uzoefu na sifa nzuri kuwasilisha nia katika utoaji huduma
tajwa hapa chini
AINA YA KAZI
 Huduma za Kuajiri, Kukodisha: Kwa Kuzingatia Kanuni za Maudhui ya Ndani, Shughuli za
Usaidizi wa Utafutaji na Uajiri, Kukodisha na kuajiri mtu mwenye uwezo na kipaji.
 Faida na Huduma za Mafao
 Huduma za Ushirikishwaji wa Mfanyakazi/Mwajiriwa
 Kushughulikia Huduma za Usaidizi wa Usambazaji wa Wafanyakazi: Kushughulikia
Uwezeshaji
 wa Usafiri, Makazi ya Ndani ya Nchi ya Wafanyakazi Wageni e.t.c
 Kushughulikia Ruhusa Zinazohusiana na Wafanyakazi na Uandikishaji kwa Kanuni za
Ndani ya
 Nchi: Kushughulikia Vibali vya Kazi, Vibali vya Ukaazi n.k.
 Kutunza kumbukumbu na Ripoti: Kutoa Ripoti kwa Misingi Iliyoratibiwa kwa mujibu wa
mahitaji
VIGEZO VINAVYOHITAJIKA
 Awe ni Biashara yenye Leseni Kamili na Uthibitisho wa Usajili na Mamlaka husika za
Tanzania ikiwemo Mamlaka ya Mapato Tanzania. Awe na cheti cha mlipa kodi cha hivi
karibuni.
 Usajili kwenye kanzidata ya wasambazaji na watoa huduma wa ndani (LSSP) wakati wa
kuwasilisha jibu la maombi haya (EOI) ni lazima.
 Kuzingatia kanuni za maudhui ya Ndani za 2017; Sheria ya Petroli ya 2015 na ufafanuzi wa
kampuni ya ndani kwa Tanzania.
 Awe na taarifa za fedha za miaka 3 Iliyopita
 Awe na vyeti vya uthibitisho vya ISO 9001, ISO14001, ISO 45001 kama ushahidi wa
uthibisho wa ubora, mifumo ya usimamizi ya HSE kwa kufuata viwango vinavyotumika
vya maeneo na viwanda kwa kazi zinazofanana na hizo.

Makampuni zenye nia ambazo zinakidhi vigezo na zina uwezo wa kutoa huduma zilizoorodheshwa
hapo juu, zinapaswa kueleza nia yao kwa kutuma barua pepe pamoja na hati zilizoorodheshwa
hapo juu kwa [email protected] (isiyozidi 20mbs).
Nyaraka zote lazima ziwasilishwe kwa lugha ya Kiingereza na nambari ya kumbukumbu ifikapo
Februari 13, 2023 5:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
MKANDARASI anahifadhi haki ya kutozingatia makampuni ambayo yanawasilisha ripoti
isiyokamilika!
Kumbuka: Kampuni zilizokidhi vigezo ndizo zitapokea mwaliko wa kuwasilisha zabuni zao kwa
ajili ya hatua nyingine za mchakato wa Zabuni.

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related