utumishi

Nafasi ya kazi :- DEREVA DARAJA LA II – 2 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i) Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

ii) Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;

iii) Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;

iv) Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;

v) Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;

vi) Kufanya usafi wa gari; na

vii) Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 

APPLICATION TIMELINE: 2024-07-25 2024-08-04

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related