utumishi

Nafasi ya kazi :- DEREVA VIVUKO DARAJA LA II – 2 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko;

ii.Kuchunga usalama wa abiria na magari yaliyomo ndani ya mashua/vivuko;

iii.Kupanga abiria au magari kwenye mashua/vivuko;

iv.Kuendesha na kuongoza mashua/vivuko;

v.Kutunza daftari za safari ya mashua/vivuko

vi.Kuhakikisha kwamba injini za vivuko zipo katika hali nzuri ya kufanya kazi; na

vii.Kuangalia mafuta na vyombo vingine vya kufanyia kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa Waliohitimu Mtihani wa Kidato cha Nne, wenye ujunzi wa kuendesha na kutunza mashua/vivuko uliothibitishwa na Chuo cha Dar es salaam Marine Institute au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali kwa muda usiopungua miaka miwili; na waliofuzu mafunzo ya miezi sita ya uokoaji wa maisha majini, kuogelea na kupanga watu na magari kwenye mashua/vivuko.

APPLICATION TIMELINE: 2025-05-20 2025-06-03

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related