Halmashauri ya Wilaya Tunduru
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
- Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
- Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
- Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)
- Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
- Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
- Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
APPLICATION TIMELINE: 2024-08-15 2024-08-28
.