utumishi

Nafasi ya kazi :- MTEKNOLOJIA MACHO DARAJA LA II (TECHNOLOGIST OPTOMETRIST ) – 7 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Wizara ya Afya

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kufanya uchunguzi wa upeo wa kuona na kutibu 

ii.Kurufaa wagonjwa kwenye ngazi za juu, zinazohitaji utaalamu zaidi

iii.Kutoa ushauri nasaha 

iv.Kutunza na kurekebisha uharibifu wa vifaa vya macho 

v.Kutengeneza miwani na kurekebisha miwani aina zote 

vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya teknolojia ya macho kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Mabaraza yanayohusika.

APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related