utumishi

Nafasi ya kazi :- MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II-RADIOLOJIA (RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST II – RADIOLOGY) – 7 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Wizara ya Afya

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.    Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi
ii.    Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi
iii.    Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic quality)
iv.    Kutunza    picha    za    wagonjwa    hadi    majibu
yanapowafikia    madaktari         waliowatuma wagonjwa
v.    Kusimamia watumishi walio chini yake
vi.    Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi.
vii.    Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization)
viii.    Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
ix.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya teknolojia ya Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.

APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related