serikali-2-100x100

Nafasi ya kazi :- MTENDAJI WA KIJIJI III – 1 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

 1. Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji;
 2. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji;
 3. Kuratibu na kusimamia upangaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji;
 4. Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji;
 5. Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
 6. Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali;
 7. Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya klitaalam katika kijiji;
 8. Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji;
 9. Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji;
 10. Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
 11. Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za kijiji; na 
 12. Atawajibika kwa Mtendaji Mkuu wa Kata.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

APPLICATION TIMELINE: 2024-06-26 2024-07-10

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related