Wizara ya Afya
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kumchunguza mgonjwa ili kutambua na kupanga tiba kwa vitendo.
ii. Kutekeleza tiba kwa vitendo kwa mgonjwa.
iii. Kukusanya na kutunza takwimu na taarifa za mgonjwa. iv.Kutunza vifaa vya Idara
iv. Kutoa elimu ya Afya kwa jamii kuhusu kutambua dalili na kuzuia ulemavu.
v. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wenye Stashahada ya Mtoa tiba kwa Vitendo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19
.