utumishi

Nafasi ya kazi :- MUUGUZI DARAJA LA II – 37 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Wizara ya Afya

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.    Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na         sehemu zote zinapotolewa huduma za afya;
ii.    Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika 
       sehemu yake ya kazi;
iii.    Kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi;
iv.    Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani;
v.     Kutoa ushauri nasaha;
vi.    Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango;
vii.   Kutoa huduma za uzazi na afya ya mtoto;
viii.  Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya;
ix.    Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yake ya kazi; na
x.     Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi  
       zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye cheti cha Uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kuandikishwa (Enrolled) na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.

APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related