utumishi

Nafasi ya kazi :- MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – 3 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.

ii. Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.

iii. Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa wakati unaohitajika.

iv. Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majadala, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.

v. Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.

vi. Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya,kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.

vii. Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV/VI waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani na kupata cheti cha Stashahada (Diploma) NTA LEVEL 6. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta katika programu za Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na Publisher.

APPLICATION TIMELINE: 2024-07-25 2024-08-04

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related