images (2)

NAFASI YA KAZI — SACCOSS MANAGER

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Job Description

Kampuni ya MWANJELWA SACCOSS-MBEYA inatangaza nafasi ya kazi ya Manager wa Saccoss Mwenye uzoefu kuanzia miaka miwiwi na kuendelea.

SIFA ZA MUOMBAJI
-Awe mkazi wa mbeya
-Awe na uwezo wa kuingiza wanachama wapya atleast 50 kwa mwezi
-Awe na uzoefu na Saccoss kwa miaka 2 na kuendelea kwenye nafasi ya managerial
-Awe na uzoefu wa kudai madeni
-Awe na Diploma au Digrii ya Biashara

MAOMBI YOTE YATUMWE KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0767773304

MWISHO WA MAOMBI TAREHE 23.12. 2023

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related