Wizara ya Afya
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi;
ii Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida;
iii Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya
upasuaji mdogo;
iv Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi;
v Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya
za Mfuko wa Afya ya Jamii;
vi Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma;
vii Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji; na
viii Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye Stashahada Utabibu Meno ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19
.