Crude-oil-eacop

OMBI LA KUWASILISHA PENDEKEZO LA KUTOA HUDUMA YA UGAVI WA VIFAA VYA KINGA BINAFSI (PPE) [East Africa Crude Oil Pipe project] – REF. 221220

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Worley Europe Limited kama mkandarasi wa huduma za awali wa EpoinC kwa mradi wa EACOP
inawaalika wakandarasi weki Tanzania walio wazoefu na hadhi ya kuonyesha nia yao ya kutoa
huduma ya vifaa vya kinga binafsi kwa ajili ya mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika
Mashariki (EACOP).
Jamhuri ya Uganda, Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya Uganda (UNOC), Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Shirika la Maendeleo ya Petroll Tanzania (TPDC), Pamoja na makampuni mengine ya
kimataifa ya mafuta yanayoshiriki katika kuendeleza maeneo ya utafutaji 1. 1A. 2 na Kingfisher
Discovery Area katika Albertine Graben nchini Uganda au washirika wao watashiriki katika
utekeleza wa mradi wa EACOP (Potential Pipeline Participants). Uendelezaji wa mradi wa EACOP
unahusisha uhandisi, ujenzi, uendeshaji na matengenezo ya bomba la kusafirisha mafuta ghafi
linalopite nchini Uganda na Tanzania na eneo la ufukwe wa bahari Chongoleani karibu na bandari
ya Tanga nchini Tanzania.
BRIEF DESCRIPTION OF THE SCOPE OF THE MATERIALS STANDARD ISSUE PERSONAL PPE KITS
 6 PT. SUSPENSION WHEEL RATCHET OPERATED ABS-EN 397 EN12492
VENTILATED HARD HAT
 HI-VIS DETACHABLE HARD HAT SUNBRIM
 ANTI FOG/ANTI SCRATCH SAFETY GLASSES (STD + OVER SPECTACLE-CLEAR
DARK UV PROTECTION)-EN166, OPTICAL STANDARD CLASS 1
 SILICON CORDED EAR PLUGS-EN352-2
 CLIP ON EAR DEFENDERS-EN352-1
 VALVED DISPOSABLE DUST MASKS-EN149 FFP2
 BRANDED HI-VISIBILITY (YELLOW + REFLECTIVE) LONGSLEEVE WORK
SHIRTS (VENTILAT. ED + LIGHTWEIGHT)-100% NATURAL FIBERS (GSM 155-
160)
 BRANDED T-SHIRTS – 100% NATURAL FIBERS
 NAVY BLUE CARGO PANTS (HI-VIS REFLECTIVE STRIPS)-100% NATURAL FIBERS

RAIN PONCHO-HI-VIS COLOR + REFLECTIVE STRIPS
 DURABLE WORK GLOVES (NITRILE FOAM COATED and BREATHABLE)- EN388
 RUGGED GLOVE CLIPS
 SAFETY BOOTS OSHA (100% LEATHER UPPER, DUAL DENSITY PU SOLE,
METAL FREE TOE CAP -EN20345-S3
 SAFETY WELLINGTON/GUMBOOTS w/ SAFETY TOE and PUNCTURE
RESISTANT-EN20345-S5
 LARGE BRANDED and PERSONALIZED PPE BAG-PVC w/SHOULDER STRAPS
ADDITIONAL PERSONAL PROTECTIVE EQUIPMENT SUPPLIES
 IMPACT RESISTANT WORK GLOVES-EN388: 2016 4X42DP
 Ex RATED HAND TORCH
 Ex RATED HELMET TORCH
 SAFETY GOGGLES-EN166, OPTICAL STANDARD CL 1
 CARTRIDGE FILTERED DUST MASKS w/ REPLACEABLE
 CARTRIDGES (MULTI-GAS)
 TOOL LANYARDS
 CLIP ON BRANDED TAPE MEASURE (2-3M)
 FULL BODY HARNESS-EN361, EN358 DUAL LANYARD-EN355, EN354
 RETRACTABLE FALL ARRESTOR (2M)- EN360: 2002
INVENTORY AND ORDER PROCESSING MANAGEMENT
 INVENTORY STORAGE and TRACKING
 ORDER PROCESSING CAPABILITIES
 DELIVERY TO BASE OFFICE and/or SITE LOCATIONS
The scope shall include design, sourcing of material, manufacturing. assembly, packaging,
inventory supply management, weekly inventory reports, procurement consultation, subvendors co-ordination, quality assurance, and product guarantees.
MINIMUM REQUIREMENTS:
Makampuni yenye nia yanaalikwa kutuma nyaraka za maombi yao pamoja na sampuli za bidhaa
na:
 Kutoa ahadi na ushahidi wa uzoefu katika utoaji huduma ya ugavi wa vifaa vya kinga
binafsi (PPE) kwa viwango vya juu vya mafuta na gesi. Orodha ya Uzoefu ya vifaa sawa
vilivyotolewa kwa muda wa miaka mitano (5) iliyopita.
 Nakala ya sasa ya cheti cha ISO 9001:2015 and 14001:2015 & OHSAS 18001
(ISC45001:2015) cha kampuni kuu na msambazaji wake.

Dondoo za kuonyesha taratibu za usimamizi wa ubora wa usambazaji, kuonyesha jinsi
udhibiti wa ubora wa nyenzo unatekelezwa katika msururu wa usambazaji na/au kutambua
ni utambulisho gani chanya wa nyenzo unatekelezwa katika mchakato wa uzalishaji.
 Utoaji wa ripoti za fedha zilizokaguliwa kwa miaka 2 iliyopita ili kuhakikisha afya ya
kifedha ya biashara
 Usajili na LSSP unahimizwa sana
Makampuni yanayovutiwa ambayo yanakidhi mahitaji yaliyoainishwa na yana uwezo wa
kusambaza vifaa/huduma kwa mujibu wa maelekezo hapo juu, yanapaswa kuwasilisha
mapendekezo ya zabuni zao kwa kutuma nyaraka zilizoorodheshwa, kwenye barua pepe hill:
[email protected] (Ukubwa wa juu wa Barua Pepe: MB 20 & Nyaraka zote
lazima ziwasilishwe katika lugha ya Klingereza) mnamo au kabla ya SAA SITA MCHANA YA
NYAKATI ZA LONDON, tarehe 10 Januari 2023.
Makampuni yanayokidhi sifa bainifu zilizoainishwa hapo juu yatapokea, mkataba wa makubaliano
ya kutunza siri (NDA), dodoso la kina la sifa za awali kwa ajili ya kutathiminishwa zaidi kwa
kampuni.

Mradi wa EACOP una haki ya kutozichagua kampuni ambazo zinawasilisha taarifa zisizokamilifu.

Kumbuka: Kampuni zitakazofuzu katika mchakato huu wa awali ndizo pekee zitapokea mwaliko
wa kuwasilisha zabuni zao.

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related