TAARIFA YA KUITWA KWENYE USAILI

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

 

TO JOIN WHAT’S UP CLICK HERE

TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

TAARIFA YA KUITWA KWENYE USAILI 

Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji Dar es Salaam anawatangazia waombaji kazj kwa nafasi ya Mtendaji wa Mtaa kwamba baada ya uchambuzi wa maombi, wafuatao wamechaguliwa kufika kwenye Usaili wa kuandika utakaofanyika tarche 27 Juni,2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi. Eneo la kufanyia Usaili ni Ukumbi wa Shule ya l,4singi Msingi Mnazi mmoja. Zingatia kufika na vyeti halisi vya Kidato cha Nne, Taaluma, cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisha kimojawapo kati ya NIDA, Kura au Lesent ya Udereva vitapokelewa. 

Orodha ya majina ya walioitwa kwenye Usaili ni kama ifuatawo: 

DOWNLOAD PDF HERE

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related