TANGAZO KWA NAFASI YA WAOMBAJI WA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II – WIZARA YA AFYA

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

TANGAZO KWA NAFASI YA WAOMBAJI WA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II – WIZARA YA AFYA

Waombaji walioitwa kwenye usaili kupitia tangazo lenye Kumb.Na.JA.9/259/01/A/106 la tarehe 11 Juni, 2022 nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbu- Wizara ya Afya wanataarifiwa kuwa usaili wa Kada hiyo utafanyika tarehe 23 Juni, 2022. Kada hii haina usaili wa vitendo kama inavyoonekana kwenye ratiba kuu.

Imetoewa na :

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related