TANGAZO LA KAZI MAFIA

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

 

TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

TANGAZO L A KAZI 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia anayo furaha kutangaza nafasi 3 za ajira ya kudumu kwa Watanzania wote wenye sifa stahiki Dereva Daraja II. Nafasi za ajira hii inarudiwa kutangazwa na inatokana na kibali cha ajira kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa barua Kumb. Na. FA.97/228/01/9 ya tarehe 13 Mei, 2022 

DOWNLAOD PDF HERE

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related