serikali

TANGAZO LA KAZI YA MKATABA :- AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (NAFASI 1).

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe amepokea kibali cha Ajira
ya Mkataba chenye Kumb. Na. FA.97/228/02”A”/131 cha tarehe 07 Februari, 2024
kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, hivyo anakaribisha maombi ya kazi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo kujaza
nafasi ya Afisa Usafirishaji Daraja la II

1.1. SIFA ZA MWOMBAJI.
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Usafirishaji kutoka chuo
kinachotambuliwa na Serikali.

BOFYA HAPA KUPATA TAARIFA KAMILI 👇🏻

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related