JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA
UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. JA.9/259/01/A/15 29
Desemba, 2021
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Sekretarieti
ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi
mbalimbali waliofanya usaili tarehe 16
Oktoba, 2021 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama
yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua
barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi
za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya
siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo
hazijachukuliwa na Wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha,
waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti
kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha
kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals
Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe
na mwajiri kabla ya kupewa barua ya
Ajira.
Kwa
wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata
nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za
kazi zitakapotangazwa.
NB: Waombaji wanaokuja
kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa.
NA |
MAMLAKA YA AJIRA |
KADA |
MAJINA YA WALIOITWA KAZINI |
1 |
MKURUGENZI MKUU, SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC) |
DRIVER II |
1. KASHINDYE 2. MWANJI 3. MATABARO 4. MSOLOKA 5. |
IMETOLEWA NA KATIBU
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA
UTUMISHI WA UMMA
2