TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa
kuanzia tarehe 14– 27 Septemba, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:–