TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HE
P.O.BOX 76447, BLOCK 569, Msolomoni Street, Kinondoni – Manyanya,
Dar es Salaam.
Anaconda 0745
394 509
Security Services (T) Ltd. [email protected]
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI ZA ULINZI (URGENTLY)
Kampuni ya Ulinzi (ANACONDA
SECURITY SERVICES (T) Ltd) yenye mako yake makuu mkoa wa Dar es Salaam
(Kinondoni, Manyanya) na Tawi lake mkoa wa Lindi inapenda kuwatangazia
watanzania wenye sifa na ujuzi stahiki kutuma maombi yao ya kazi katika nafasi
zifuatazo:-
A) Cheo : Mlinzi {Security Guard) x 10
Ripoti: Mkaguzi (Security Inspector)
Mahali pa Kazi: Dar es Salaam (Corporate Office)
Sifa Na Vigezo Muhimu vya Mlinzi Anaehitajika
1. Awe amepitia na kufuzu mafunzo ya Jeshi la Akiba
(Mgambo) – ujuzi wa kutumia silaha za moto
2. Awe anamiliki simu ya mkononi yenye uwezo
wa kukaa na Chaji saa 24
3. Awe
hajawahi kupatikana na kosa lolote ya jinai ndani na nje ya Tanzania
4. Awe
na uwezo wa kufanya kazi na kufuata ratiba pendekezwa kwa usahihi muda wote
5. Awe
na uzoefu wa kazi za ulinzi usiopungua miezi 6
6. Awe
na tabia njema/mwadilifu, mtiifu, anaejituma, mwenye akili timamu na kujali
muda wa kazi
7. Asiwe
na sifa ya utoro kazini wala kuacha kazi kabla ya kukabidhiana na mwenzake
8. Lugha:
Kiswahili (Muhimu sana)japo Kingereza ni sifa ya ziada Sio lazima
9. Elimu:
kuanzia darasa la saba na kuendelea
10. Ujuzi:
Awe anauwezo wa kuzungumza, kusoma na Kuandika kiufasaha
11. Umri:
Miaka 19 hadi 45.
12. Awe
tayari kufanya kazi sehemu yeyote ndani ya Dar es Salaam, Tanzania
B) Mkaguzi (Security
Inspector) x 5
Ripoti: Mkurugenzi wa Mafunzo na Utendaji
Mahali pa Kazi: Dar es Salaam (Head Office)
Sifa Na Vigezo Muhimu Vinavyohitajika
1. Awe
amepitia na kufuzu mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) — ujuzi katika kutumia
silaha za moto
2. Awe
anamiliki simu ya mkononi yenye uwezo wa kukaa na Chaji saa 24
3. Awe
hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai ndani na nje ya Tanzannia
4. Awe
na uwezo au ujuzi wa kuendesha pikipiki (mwenye leseni halali ya kuendesha
pikipiki)
5. Awe
anajua au uwezo wa kutekeleza alama na sheria za usalama barabarani
6. Awe
na uzoefu wa kazi za ukaguzi usiopungua miaka 2 ndani ya jiji la Dar es Salaam
7. Awe
na uwezo wa kuongoza na kuslmamia walinzi na kuandaa ripoti za za ukaguzi na
roster
8. Asiwe
na sifa ya utoro kazini wala kuacha kazi kabla ya kukabidhiana na mwenzake
9. Awe
na tabia njema/mwadilifu, mtiifu, anaejituma, mwenye akili timamu na kujali
muda wa kazi
10. Lugha:
Kiswahili (Muhimu sana)japo Kingereza ni sifa ya ziada Sio lazima
I l. Elimu: kuanzia darasa la saba na kuendelea
12. Ujuzi:
Awe anauwezo wa kuzungumza, kusoma na Kuandika kiufasaha
13. Umri:
Miaka 22 hadi 45.
14. Awe
tayari kufanya kazi sehemu yeyote ndani ya Dar es Salaam, Tanzania
VIAMBATANISHO (ATTACHMENTS)
a) Muombaii
Barua ya kuomba kazi iliyoandikwa kwa mkono na
kusainiwa
Nakala ya vyeti vya shule na Mafunzo ya Jeshi
la Akiba (Mgambo)
Nakala ya leseni hai ya uendeshaji pikipiki
(kwa nafasi ya mkaguzi)
Nakala ya kitambulisho cha mpiga kura au Nida
Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa
ya eneo analoishi mwombaji wa kazi
b) Wadhamini wawili
Barua iliyoandikwa kwa mkono na kusainiwa
Barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa ya eneo
analoishi mdhamini
Namba ya (za) simu zinazopatikana muda wote
Nakala ya kitambulisho cha mpiga kura au Nida
JINSI YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI
Tuma maombi kwa njia ya barua pepe: [email protected] au kuwasilisha moja
kwa moja makao makuu ya kampuni katika ofisi iliyopo Mtaa wa Manyanya, Wilaya
ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Unaweza kutumia lugha ya Kiswali au kiingereza
NB’. (kwa watakao tumia njia ya barua pepe- email)
Viambatanisho vyote vya muombaji pamoja na
wadhamini wake wawili viweke kwenye PDF moja (katika mpangalio maalumu na
unaoeleweka)
ANWANI (ADDRESS)
MENEJA RASILIM ALI WATU
KAMPUNI YA ULLNZI YA ANACONDA S. L. P 76447,
MANYANYA – KINONDONI, DAR ES SALAAM – TANZANIA.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI 12/08/2022