LOGO

Tangazo la Zabuni Halmashauri ya Jiji la Dodoma

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURIYA MUUNGANO WA TANZANIA

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA

TANGAZO LA ZABUNI LINARUDIWA

ZABUNI Na. LGA/020/2018–2019/NCS/13 14

ZABUNI YA KUPATA WAKANDARASI WENYE MAGARI NA MITAMBO YA KUFANYA USAFI, KUZOA TAKA NA KUZISAFIRISHA KWENDA DAMPO LA CHIDAYA, NA KUKUSANYA ADA YA USAFI KUTOKA KATIKA MAKAZI, BIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA.

Halmashauri ya Jiji la Dodoma inakusudia kupata wakandarasi wenye magari na mitambo ya kufanya usa0, kuzoa taka na kuzisaiirisha kwenda dampo Ia Chidaya, na kukusanya ada ya usafI kutoka katika makazi, biashara na taasisi mbalimbali katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi June, 2021.

Halmashauri ya Jiji la Dodoma inapenda kuwaaiika wakandarasi wenye magari na mitambo ya kufanya usaii, kuzoa taka na kuzisafirisha kwenda dampo la Chidaya, na kukusanya ada ya usafI kutoka katika makazi, biashara na taasisi mbalimbali katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma kutuma maombi yao kwa zabuni zifuatazo:

No.ENEO LA USAFINAMBA YA ZABUNI
1Eneo hili linahusu kata ya NkuhunguLGA/020/2018-2019/NCS/13 
2Eneo hili linajumuisha kata za ipagala na dodoma makuluLGA/020/2018-2019/NCS/14

Zabuni hii itaendeshwa katika taratibu za mfumo wa Ushindani wa Kitaifa (National Competitive Bidding) kama ilivyoelekezwa katika Kanununi za Ununuzi zilizotolewa kwa tangazo la serikali namba 446 la mwaka 2013 na marekebisho yake ya mwaka 2016 isipokuwa itakapokuwa imeandikwa vinginevyo kwenye masharti maalum ya uombaji (Bid Data Sheet).

Wenye nia ya kuomba zabuni hii wanaweza kupata taarifa za ziada na kukagua nyaraka za zabuni katika Oiisi ya KatibuBodi ya Zabuni, Halmashauri ya Jiji Ia Dodoma Makao Makuu, ghorofa ya kwanza, chumba namba i4 SLP 1249, Dodoma, kuanzia saa 1.30 asgbuhi hadi I saa 9. 30 mchana, Jumatatu hadi ljumaa isipokuwa siku za mapumziko ya kitaifa.

Wenyenia ya kuomba zabuni hii watapata Nyarakaza Zabuni katika iugha ya Kiswahili baada ya kulipa ada ya Shs. 100,000/= (shilingiw Iaki moja tu) ambayo haitarejeshwa (non-refundable). Malipo hayo yalipwekwa Mkurugenzi wa Jiji, Jiji la Dodoma, SLP 1249,Dodoma.

Mwisho wa kupokea zabuni ni tarehe 03/06/2019 saa nne (4) asubuhi, na ufunguzi utafanyika mara baada ya muda wa mwisho wa‘ kupokea zabuni hizo mbele ya waombaji watakaoamua kuhudhuria kwenye ukumbi wa mikutano ulioko jengo ia Makao Makuu ya Jiji (zamani likijulikana kamajengo la CDA), ghorofa ya pili.

Zabuni zote zitumwe zikiwa zimefungwa ndani ya bahasha iliyofungwa ipasavyo. Juu ya bahasha ioneshwe namba ya zabdni. Zabuni ‘ zitumwe kwa anuani ifuatayo:

Mkurugenzi wa Jiji,
Jiji Ia Dodoma,
SLP 1249,
DODOMA
.

Zabuni ambazo zitachelewa kwa muda uliopangwa na zabuni zitakazotumwa kwa barua barua pepe (e-mail) hazitapokelewa.

Bartazar Ngowi,
Kalmu Mkurugenzi wa Jill
JIJI LA DODOMA
Source; Daily News
Date; 20/05/2019


WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related