LOGO

Tangazo la zabuni Halmshauri ya Wilaya ya Same

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME

TANGAZO LA ZABUNI

Halmashauri ya Wilaya ya Same inatoa tangazo la zabuni za ukodishjai wa vibanda vilivyopo kituo cha mabasi same Mjini Tangazo hili la zabuni liko wazi kwa watu binafsi kampuni na taasisi yoyote iliosajiliwa kisheria kufanya biashara

Namba Ya Zabuni Idadi Ya Vibanda Vinavyokodishwa Ukubwa Wa Kibanda Ada Ya Zabuni Wanaoshathili
LGA/049/NC/Block. A 2019/2020/07 3 2.9Mx3.96M 30,000/= Mkampini, ushirika, taasisi, vikundi, watu binafsi
LGA/049/NC/Block. B 2019/2020/08 2 3MX3.96M 30,000/= Mkampini, ushirika, taasisi, vikundi, watu binafsi
LGA/049/NC/Block. F 2019/2020/09 2 3.2MX2.84 M 30,000/= Mkampini, ushirika, taasisi, vikundi, watu binafsi

MASHARTI YA MAOMBI YA ZABUNI
Maombi ya zabuni yazingatiwe masharti yafuatayo:-
Nyaraka ya zabuni itapatikana baada ya kulipia ada ya zabuni 30,000/= amabyo haitarejeshwa ambao italipwa kwa kutumia mfumo wa www.tapenps.go.tz

ZINGATIO
Fomu ya maombi ya zabuni ijazwe na kusainiwa na wenywkiti halali wa kisheria(power attorney) katik azabuni hi kama mwombaji ni kampuni

  1. Mwombaji kama n kampuni atatakiwa aambatanishe
  • Kivuli cha leseni ya biashara ilio hai anayo kusudia kutumia katika kibanda hicho
  • Kivuli cha usajili wa kampuni
  • Cheti cha usajili wa TIN/VAT
  • Power of attorney
  • Fomu ya zabuni ikiwa imejazwa kikamilifu na kusainiwa

Aidha nyaraka zote ziwe zimethibitishwa na mwanashria certified true copy of original)

  1. Kwa mtu binfsi
  • Hati ya kiapo cha jina “avvidavit of name”
  • Cheti cha usajili wa TIN
  • Kivuli cha leseni ya biashara ilio hai anayokusudia kutumia katika kibanda hicho
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekiti wa kitongoji/mtendaji Mtaa
  • Fomu za zabuni ikiwa imejzwa kikamilifu na kusainiwa
  • Mwommbaji awasilishe hati ya kiapo kuthibitisha kwamba yeye sio mtumishi wa Halmshauri ya wilaya ya same

Aidha nyaraka hizo ziwe zimwthibitishwa na mwanasheria

  1. Mzabuni atakayeshinda atatakiwa kuwasilisha dhamana ya utendaji kazi(permance bind) ambayo ni sawa na malipo ya miezi mitatu kodi ya pango kabla ya kusaini mkataba na wapangaji
  2. Mwombaji yoyote atakayeshindwa masharti hayo ya zabuni atakuwa amejondoa mwenyee katika ushindani
  3. Kabrasha la zabuni linpataikana katika tovuti ifuatayo www.taneps.go.tz maombi ya zabuni yatumwe kupitia tovuti hiyo kaba ya tarehe 08/04/2020 saa 4 kanili asubuni

RG.NLULA
KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI WILAYA
SAME

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related