LOGO

Tangazo la Zabuni ya Kupangisha Maduka na Migahawa Katika Eneo la Karakana ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

Namba ya Kotesheni: LGA/O18/2019/2020/NCS/O9 lot 1 Kwa ajili ya:

KUPANGISHA MADUKA SABA (7) NA MGAHAWA KATIKA ENEO LA KARAKANA YA HALMASHAURI YA JIJI MWANANYAMALA

MWALIKO WA KOTESHENI YA UPANGISHAJI

1.Mwaliko huu wa Kotesheni unafuata Tangazo Ia Jumla Ia Ununuzi (TJU) kwa ajili ya Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kwa Mwaka 2019/2020 wa fedha unaoonekana katika tovuti ya Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam na tovuti ya PPRA.

2. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga fedha kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za Halmashauri. Halmashauri _ ya Jiji la Dar es salaam katika mwaka wa fedha 2019/2020, Inakusudiwa kupata wapangaji Kwa ajili ya kupanga katika maduka Saba (7) pamoja na mgahawa, vyote hivyo vinapatikana katika eneo Ia karakana ya Hamashauri ya Jiji Mwananyamala.

3. Waombaji wanakaribishwa kuchukua kabrasha la kotesheni kwa gharama ya shilingi 100,000/ fedha ambazo hazitarudishwa. Waombaji wanatakiwa kufanya malipo kwenye akaunti namba Na. 0150211141600, Halmashauri ya Jiji Ia Dar es salaam, CRDB PLC, Kwa ajili ya kupangisha maduka saba (7) na mgahawa katika eneo la karakana ya Halmashauri ya Jiji Mwananyamala.

4. Kotesheni zote ziwe na nakala halisi (original) mbili] zinazofanana, zilizojazwa kwa usahihi na zilizowekwa kwenye bahasha isiyo na maandishi juu na kuandikwa “Kotesheni Na LGA/018/2019/2020/ NCS/O9Iot1 Kukodisha maduka/mgahawa katika eneo Ia viwanda vidogo karakana ya Halmashauri ya Jiji Mwananyamala. Ni ‘ lazima kupelekwa Kwa Katibu wa Bodi ya Zabuni ya Halmashauri ‘ya Jiji 13 Dar es salaam 5. LP. 9084 Dar es salaam Kitengo cha manunuzi (PMU).

5. Siku ya mwisho ya kuwasilisha Kotesheni ni tarehe 11/09/2019 siku ya Jumatano saa nane mchana Kotesheni zote zitafunguliwa hadharani mara tu. baada ya muda wa mwisho. wa kuwasilisha, mbele ya wawakilishi wa waombaji wanaoamua kuhudhuria katika ufunguaji wa zabuni katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam. S.L.P. 9084 Dar es salaam Kitengo cha manunuzi (PMU).

6. Kotesheni zitakazochelewa, sehemu ya kotesheni, kotesheni za kielektroniki, na kotesheni zisizofunguliwa katika tukio la ufunguaji kotesheni. kwa hali yoyote ile kotesheni hizo hazitakubaliwa kwa tathmini.

Slpora J. Llana
Mkurugenzl wa Halmashaurl ya jiji
Source; Mwananchi
Date Published; 06/09/2019

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related