nmb

Tangazo la Zabuni ya Mauzo ya Nyumba za Makazi za NMB

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

NMB BANK PLC

TANGAZO LA ZABUNI YA MAUZO YA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NMB

UTANGULIZI

Benki ya NMB i benki inayoongoza Tanzania kwa kuwa na mwateja wengi NA MTANDAO MPANA WA MATAWI IKIWA NA WATEJA ZAIDI YA MILLIONI 3 matawi yapatayo 228 na zaidi ya ATM 800 NA NMB Wakala wappatao 7,000 uwepo wa NMB unawakilisha kwa asilimia 100 katik wilaya za Tanzania, NMB inahudumia watu binnafsi, wafanyabiashara wadogowadogo biashara ndogo pamoja na bisahara kubwa, NMB inarekodi imara ya kifedha ikiwa na msingi imara na utendaji usioteteleka wa miaka mingi benki ya nmb imeorodheshwa kwenye soko la hisala Dar es Salaam, wanahisa wakubwa na NMB ni wabia wake kimkakati waitwao rabobank wenye asilimia 34.9% ya hisa na serikali ya Tanzania yenye asilimia 31.99%

Benk inakaribisha waombaji kwa njia ya ushindani kwaajili ya kuuza nyumba za makazi kwa msingi wa JINSIILIVYO na MAHALI ILIPO kuna nyumba 3o zinauzwa kwa zabuni kama zilivyoorodheshwa hapa chini na zinaweza kuonwa kwa kukaguliwa kwa siku za juma kuanzia tarehe 26 Julai saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri mahali zilipo katika maeneo mbalimbali nchi nzima kama zilivyoonyeshwa kwenye jedwali hapa chini

PAKUA PDF HII KUONA MAHALI ZILIPO

NMBDownload
WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related