TARURA

Tangazo la Zabuni ya Utozaji wa Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara za Manispaa ya Iringa

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI (TARURA)

TANOGAZO LA ZABUNI

ZABUNI NA. AE/092/2019-2020/IR/NC/01/LOT 1

YA

WAKALA WA UTOZAJI WA ADA ZA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI KWENYE HIFADHI ZA BARABARA ZA MANISPAA YA IRINGA

Wakala wa barabara za vijijini na mijini Tanzania (TARURA) Mkoa wa Iringa unakusudia kutumia huduma za wakala kutoza ada za maegesho ya vyombo vya usami katika maeneo ya hifadhi za barabara zote zilizopo katika Halmashauri ya Manispaa ya lringa

Wakala unapenda kuwakaribisha waombaji wenye sifa kutuma maombi yao kwa ajili ya zabuni NA. AE/092/2019-2020/IR/NC/01/Lot 01 ya Wakala wa utozaji wa ada za macgesho ya vyombo vya usafiri kwenye hlfadhi za barabara za TARURA Manispaa ya lringa.

MASHARTI YA ZABUNI

  • Mzabuni awasilishe Memoranda ya Kampuni (Memorandum and Articles of Association) au Extract from Register kwa mzabuni ambaye ni mtu binafsi
  • Mwombaji awe na leseni hai ya biashara ya uwakala wa ukusanyaji ushuru wowote
  • Mwombaji awe na uzoefu usiopungua miaka miwili kuanzia mwaka 2014 kwenye kazi ya uwakala wa utozaji wa ada ya ushuru wowote kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Majiji, Manlspaa au Taasisi za Serikali.
  • Mwombaji awe na cheti cha Utambulisho wa Mlipa kodi (TIN) au nakala ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)
  • Mwombaji awe na hati halali ya kuthibitlsha ulipaji wa kodi (Tax Clearance)
  • Mwombaji awe na taarifa za kifedha zilizokaguliwa (Audited Financial Statement) kwa kipindi cha miaka miwili (2) kuanzia 2016 hadi 2018.
  • Mwombaji awe na taarifa za kifedha ya benki (Bank Statement) ya kipindi cha miezi sita kuanzia tarehe 1 Machi, 2019 mpaka tarehe 30 August, 2019 yenye mauzo (turnover) yasiyopungua Shilingi Milioni Arobaini (40,000,000.00).Taarifa hiyo iwe na”Certif1cate of Balance” kutoka katika Benki husika.
  • Mwombaji awe na cheti cha OSHA kinachoonyesha kukidhi matakwa ya Sheria Na. 5 ya Mwaka 2003
  • Mwombaji awe amesajiliwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi (WCF) kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Sura ya 263 pitio la Mwaka 2015.
  • Mzabuni asiwe mashauri katika chombo chochote cha Kisheria kuhusiana na mkataba wa aina yoyote na Taasisi yoyote ya Serikali.

Zabuni zitashughulikiwa kwa utaratibu wa ushindani wa kitaifa [National Competitive Bidding] ulioainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013, zikisomwa pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016 na ziko wazi kwa waombaji wote wa hapa nchini.

Mwombaji atatakiwa kujaza kwa usahihi na kuwasilisha Fomu ya dhamana ya zabuni (Bid Securing Declaration) katika muundo unaopatikana kwenye kabrasha la zabuni,

Nyaraka za Zabuni zitapatikana baada ya kulipa ada stahiki ya zabuni ya shilIingi Laki Moja tu (TZS.100,000.00). Mwombaji atatakiwa kuwasilisha nakala halisi ya hatl ya mallpo ya Benki ikiambatana na barua ya maombi ya Zabuni husika. Malipo yaliyotolewa kama ada ya maombi ya zabuni hayatarejeshwa. Malipo yatafanywa baada ya Mzabuni kupatiwa namba ya kulipia zabuni ”Control Number” na Mhasibu wa TARURA Mkoa wa lringa kupitia akaunti ya makusanyo ya TARURA, NC No. 53010001080; NMB Tawi la Kambarage

Zabuni zote ziwe na nakala halisl (original) moja (01) na nakala (copies) tatu (03) zlnazofanana zlfungwe ndani ya bahasha lliyofungwa kwa hkin na juu ya bahasha ziandikwe maelezo ya Zabuni na klsha iandikwe na kuwasilishwa kwa anuanl ifuatayo: Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa. lringa, S. L. P. 1027, lringa. 01131 a zamani  TANROADS karibu na Magcnza (M) wa lringa.

Mubuni anashauriwa kutembelea eneo Iote analotegemea kukusanya zabuni kabla ya kujaza maombi ya zabuni, kutokufanya hlvyo itakuwa kwa hasara yake mwenyewe.

Siku ya mwisho ya kuwasmsha maombi ya zabuni ni Siku ya Jumanno, Tanhc 01/10/2019 kabla ya saa nno kamlll (04:00) asubuhi. Zabuni mafunguliwa hadharanl mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwaslllsha zabunl, waombaji wote au wawaklllshl wao wanaalikwa kuhudhurla ufunguzu wa zabuni hlzo uukao fanyika slku hiyo katika ofusi ya Mratibu wa TARURA Mkoa wa lringa

Wakala wa Barabara za antjlnl na anl Tanzania (TARURA) hautalazlmlka kukuball/ kutokukuball kutoa zabuni kwa mwombaji yeyote kutokana na klgezo cha mallpo makubwa/mallpo kldogo ya zabuni.

Zabuni ntakazochelewa kuwasillshwa, zabuni za ktelektmmkl, na zabuni zlslzofungullwa katlka tuklo la ufunguaji zabunl, kwa hali yoyote ile hazitakubaliwa kwa tathmini.

MRATIBU WA MKOA
WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI TANZANIA (TARURA)
S.L.P 1027. IRINGA.
Barua pepe: [email protected]
Source; Daily News; 17/09/2019

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related