TARURA

Tangazo la Zabuni ya Wakala wa Utozaji wa Ada za Maegesho Ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoa Wa Katavi

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI (TARURA) MKOA, KATAVI

TANGAZO LA ZABUNI

ZABUNI NA.AE/092/201 9/2020/KTV/N/07

YA

WAKALA WA UTOZAJI WA ADA ZA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI KWENYE HIFADHI ZA BARABARA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA MKOA WA KATAVI

Wakala wa Barabara za Vijljlnl na Mljini Tanzania (TARURA) Mkoa wa Katavi unakusudia kutumia huduma za Wakala kutoza ada za maegesho ya vyombo vya usafm katika maeneo ya hifadhi za barabara zote zilizo chini ya usimamizl wake katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda

Wakala wa barabara za vijijini na mjini Tanzania (TARURA) unapenda kuwakaribisha waombaji wenye sifa kutuma maombl yao kwa ajili ya zabuni ya Wakala wa Kutoza Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara Katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Zabuni Namba AE/092/2019/2020/KTV/N/07

SIFA ZA MUOMBAJI: Muombaji atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo

Awe Mtanzania

  • Muombaji awe ni Kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Tanzania na ambayo haijawahi kuzuiwa na Mamlaka ya Udhibitiwa Ununuzi wa Umma (PPRA) kujihusisha na shughuli za Ununuzi wa Umma.
  • Muombaji awe na mtaji usiopungua Shilingi Milioni kumi (10, 000,000.00) ambao umeainishwa kwenye Memoranda ya Kampuni (Memorandum and Articles of Association) au ushahidi kuwa kampuni iliongeza mtaji wake.
  • Muombaji awe na otisi ya kudumu anapofanyia kazi zake.
  • Muombaji awe na leseni hai ya biashara ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho.
  • Muombaji awe na uzoefu usiopungua miaka miwili kuanzia mwaka 2014 kwenye kazi ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho ya Vyombo vya Usaflri kwaniaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali.
  • Muombaji awe na cheti cha Utambulisho wa Mlipa kodi (TIN)
  • Muombaji awe amesajiliwa kulipa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)
  • Muombaji awe na hati hala|i ya kuthibitisha ulipaji wa kodi (Tax Clearance)
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha zilizokaguliwa (Audited Financial Statement) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2016 hadi 2018.
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha ya benki (Bank Statement) ya kipindi cha kuanzi tarehe 1S Aprili, 2019 mpaka tarehe 15 June, 2019 yenye mauzo (turnover) yasiyopungua Shilingi Million nne (4,000,000.00). Taarifa hiyo iwe na ‘Certifacate of Balance” kutoka katika Benki husika.
  • Muombaji awe na cheti cha OSHA kinachoonyesha kukidhi matakwa ya Sheria Na.5 ya Mwaka 2003
  • Muombaji awe na sifa njema ya kufanya kazi ya Uwakala wa kukusanya ada za maegesho ya vyombo vya usafiri kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Manispaa na Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali
  • Asiyewahi kuwa na mashauri katika chombo chochote cha Kisheria kuhusiana na mkataba wa aina yoyote na Taasisi yoyote ya Serikali.

Zabuni zitashughulikiwa kwa utaratibu wa ushindani wa kitaifa [National Competitive Bidding] ulioainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013, zikisomwa pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016 na ziko wazi kwa waombaji wote wa hapa nchini.

Waombaji wote wenye nla na uwezo wanaweza kupata taarifa kamili kupitia makabrasha ya zabuni katika ofISi ya Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa KATAVI kupitia anuani Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa KATAVI S. L. P. 1 1 1 Mpanda, Kawajense Compaund Area, Building Plot 31 Block A, klla siku kuanzia saa mbili kamili (02.00) asubuhi hadi saa tisa (09:00) kamili alasiri, siku za Jumatatu had) ljumaa [isipokuwa siku za sikukuu zinazotambulika kitaifa].

Muombaji atatakiwa kujaza kwa usahihl na kuwasilisha Fomu ya dhamana ya zabuni (Bid Securing Declaration) Kwa muundo unaopatikana kwenye kabrasha la zabuni. Nyaraka za Zabuni zitapatikana katika Ofisi ya TARURA Mkoa wa KATAVI S.L.P 111 Mpanda. Kawajense Compound area. Building plot 31 Block A. bila malipo yoyote.

Zabuni zote ziwe na nakala halisi (original) moja (1) na nakala (copies) tatu (3) zinazofanana zifungwe ndani ya bahasha iliyofungwa kwa Iakiri na juu ya bahasha ziandikwe maelezo ya Zabuni na kisha iandikwe na kuwasilishwa kwa anuani ifuatayo: Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa KATAVI S. L. P. 111 Mpanda. Kawajense Compaund Area, Building Plot 31 Block A.

Siku ya mwisho ya kuwasilisha maombl ya zabuni ni Siku ya Jumatatu tarehe 15/07/ 2019 kabla ya Saa 4.00 asubui. Zabuni zitafuriguliwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha zabuni, waombaji wote au wawakilishi wao wanaalikwa kuhudhuria ufunguzi wa zabuni hizo utakaofanyika siku hiyo katika 0115i ya Mratlbu wa TARURA Mkoa wa KATAVI.

Wakala wa Barabara za Vljijini na Mijlni Tanzania (TARURA) hautalazlmlka kukuball/ kutokukuball kutoa zabunl kwa mwombajl yeyote kutokana na kggezo cha mallpo makubwa/malipo kldogo ya zabunl.

Zabunl zitakazochelewa kuwaslllshwa, zabuni za kielektronlkl, na zabunl zlslzofungullwa katika tukio la ufunguaji zabunl, kwa hall yoyote Ile hazitakubaliwa kwa tathmini.

MRATIBU WA MKOA
WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MJINI TANZANIA (TARURA)
Source; Daily News

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related