TARURA

Tangazo la Zabuni ya Wakala wa Utozaji wa Ada za Maegesho Ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara Zilizo Chini ya Tarura Katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro na Halmashauri ya Mji wa Mbulu Katika Mkoa wa Manyara

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA MRATIBU

WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI (TARURA) TARURA MANYARA

ZABUNI NA. AE/092/201 8/201 9/MNR/NC/09 YA

WAKALA WA UTOZAJI WA ADA ZA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI KWENYE HIFADHI ZA BARABARA ZILIZO CHINI YA TARURA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIMANJIRO NA HALMASHAURI YA MJI WA MBULU KATIKA MKOA WA MANYARA

Wakala wa barabara za vijijini na mijini Tanzania(TARURA) Mkoa wa manyara unakusudia kutumia huduma za wakala kutoza ada za maegesho ya vyombo vya usaliri katika maeneo ya hifadhi za barabara zilizo chini ya usimamizi wake katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro na Halmashauri ya Mji wa Mbulu katika Mkoa wa Manyara.

Wakala wa Barabara za Vuulni na Mijini Tanzania (TARURA) unapenda kuwakaribisha waombaji wenye sifa kutuma 1 maombi yao kwa ajili ya zabuni ya Wakala wa Kutoza Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usaflri Kwenye Hifadhl za Barabara zilizo chini ya TARURA Katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro na Halmashauri ya Mji wa Mbulu katika Mkoa wa Manyara, Zabuni Namba AE/092/2018/2019/MNR/NC/09. Zabuni hii inajumuisha Lot mbili (02) kama ifuatavyo:

SIFA ZA MUOMBAJI: Muombaji atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo

LOT NoMAELEZO YA ZABUNI
01Uwakala wa ukusanyaji ushuru wa maegesho ya vyombo vya usa0ri katika hifadhi ya barabara zilizo chini ya TARURA katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro. 
02Uwakala wa ukusanyaji ushuru wa maegesho ya vyombo vya usafnri katika hifadhi ya barabara zilizo chini { 02 ya TARURA katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu. 

Awe Mtanzania

  • Muombaji awe ni Kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Tanzania na ambayo haijawahi kuzuiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kujihusisha na shughuli za Ununuzi wa Umma.
  • Muombaji awe na mtaji usiopungua Shilingi Milioni Hamsini (TZS 30,000,000.00) ambao umeainishwa kwenye Memoranda ya Kampuni (Memorandum and Articles ofAssociation) au ushahidi kuwa kampuni iliongeza mtaji wake.
  • Muombaji awe na 005i ya kudumu anapofanyia kazi zake.
  • Muombaji awe na leseni hai ya biashara ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho.
  • Muombaji awe na uzoefu usiopungua miaka miwili kuanzia mwaka 2014 kwenye kazi ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho ya Vyombo vya Usafni kwa niaba ya Mamlaka za Selikali za Mitaa hususani Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali.
  • Muombaji awe na cheti cha Utambulisho wa Mlipa kodi (TIN)
  • Muombaji awe amesajiliwa kulipa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)
  • Muombaji awe na hati halali ya kuthibitisha ulipaji wa kodi (Tax Clearance)
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha zilizokaguliwa (Audited FinanciaLStatement) kwa kipindi cha miaka miwili kuanzia 2016 hadi 2018. .
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha ya benki (Bank Statement) ya kipindi cha kuanzia tarehe 1 Ja b 2018 mpaka tarehe 30 Juni, 2019 yenye mauzo (turnover) yasiyopungua Shilingi TZS 30,000,000Taarifa hiyo iwe na ”Certificate of Balance” kutoka katika Benki husika.
  • Muombaji awe na cheti cha OSHA kinachoonyesha kukidhi matakwa ya Sheria Na. 5 ya Mwaka 2003
  • Muombaji awe amesajiliwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi (WCF) kwa mujibu wa Sheria ya 1 Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Sura ya 263 pitio Ia Mwaka 2015.
  • Muombaji awe na sifa njema ya kufanya kazi ya Uwakala wa kukusanya ada za maegesho ya vyombo vya usatiri kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Manispaa na Majiji, Manispaa au Taasisi 1 23 Serikali
  • Asiyewahi kuwa na mashauri katika chombo chochote cha Kisheria kuhusiana na mkataba wa aina yoyote na Taasisi yoyote ya Serikali.

Zabuni zitashughulikiwa kwa utaratibu wa ushindani wa kitaifa [National Competitive Bidding] ulioainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013, zikisomwa pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016 na ziko wazi kwa waombaji wote wa hapa nchini.

Waombaji wote wenye nia na uwezo wanaweza kupata taarifa kamili, kupitia makabrasha ya zabuni katika 01151 ya Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa Manyara, kupitia anuani iliyotajwa kwenye Na.8 kila siku kuanzia saa mbili kamili (02.00) asubuhi hadi saa tisa (09:00) kamili alasiri, siku za Jumatatu hadi Ijumaa [isipokuwa siku za sikukuu zinazotambulika kitaifa].

Nyaraka za Zabuni zitapatikana baada ya kulipa ada stahiki ya zabuni ya Shillingi Laki Moja tu (TZS 100,000.00). Muombaji atatakiwa kuflka na barua ya maombi ya Zabuni husika katika 01151 ya Mhasibu iliyopo katika Otisi ya Ujenzi Mrara ili kupatiwa Control Number kwa ajili ya malipo ya kabrasha la Zabuni anayoomba. Malipo yaliyotolewa kama ada ya maombi ya zabuni hayatarejeshwa.

Muombaji atatakiwa kujaza kwa usahihi na kuwasilisha Fomu ya dhamana ya zabuni (Bid Securing Declaration) kwa muundo unaopatikana kwenye kabrasha la zabuni.

Zabuni zote ziwe na nakala halisi (original) moja (1) na nakala (copies) tatu (3) zinazofanana zifungwe ndani ya bahasha iliyofungwa kwa lakiri na juu ya bahasha ziandikwe maelezo ya Zabuni na kisha iandikwe na kuwasilishwa kwa anuani ifuatayo: Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa Manyara, S. L. P. 389 Manyara, katika Oflsi ya Mratibu wa TARURA Mkoa wa Manyala, Kata ya Bagara, Mtaa wa Miomboni.

Siku Ya mWisho ya kuwasilisha maombi ya zabuni ni tarehe 11 Julai, 2019 kabla ya saa 04:00 Asubuhi. Zabuni zitafunguliwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha zabuni, waombaji wote au Wawakilishi wao wanaalikwa kuhudhuria ufunguzi wa zabuni hlzo utakao fanylka siku hiyo katika 0115i ya Mratibu wa TARURA Mkoa wa Manyara, iliyopo Kata ya Bagara, Mtaa wa Miomboni.

Wakala wa Barabara za Vljijini na M” nzania (TARURA) hautalazimika kukubali/ kutokukubali kutoa zabuni kwa mwombaji yeyote kutokana n g’e’o cha malipo makubwa/malipo kidogo ya zabuni.

Mwombaji anaweza kuomba Lot zaidi ya mOJaU) kWa kuzingatia masharti yaliyoainishwa kwenye Kabrasha Ila Zabuni.

Tuzo za zabuni zitatolewa kwa kuzingatla lot (on Lot basis).

Zabuni zltakazochelewa kuwasilishwa, zabunl za kleiektroniki, na zabunl zlslzofungullwa katika tuklo Ila ufunguaji zabuni, kwa hall yoyme Ile haznakuballwa kwa tathmlnl.

MRATIBU WA MKOA
WAKALA WA BARABARA ZA VIJUINI NA MIJINI TANZANIA (TARURA)
Source; Daily News

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related