VODACOM

Tangazo la Zabuni Ya Wazi Ya Uuzaji Wa Vifaa Chakavu Vya Mawasiliano Vodacom

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

VODACOM TANZANIA

Zabuni Ya Wazi Ya Uuzaji Wa Vifaa Chakavu Vya Mawasiliano

VODACOM TANZANIA PLC. inatarajia kuuza Vifaa Chakavu vya mawasiliano vinavyofaa kuturnika kama vyuma Chakavu pamoja na matumizi binafsi bila kuathiri mazingira.

Aidha washiriki wanaalikwa kukagua Vifaa husika kwenye ghala letu ljliloko eneo la UBUNGO BUSINESS PARK UBUNGO. Ghala Na. F. mkabala na kituo cha mafuta cha TOTAL Shekilango.

Baadhi ya Vifaa vitakavyouzwa ni kama vifuatavyoz

Vyuma na vifaa vya vyuma. Vifaa vya aluminum, aluminum dishes. rectifiers switching racks panel antennas converter. Printers , telecommunications accessories. R F antennas. cisco witches, CDN racks rectifier: transmission rocks. TPA MGW rocks APC battery cabinets microwave poles. microwave brackets. support arm. U Coupler, cable clamps na Vifaa vingine mbaljmbalivya mawasiliano.

Masharti Ya Zabuni:

  • Zabuni iko wazi kwa makampuni yote yenye vibali vya kukusanya na kusaflrisha vyuma Chakavu. Kila mshin’ki anapaswa kuwasilisha kibali hicho kinachotolewa na Baraza la Uh‘rfadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
  • Washiriki wataruhusiwa kukagua Vifaa hivyB siku za kazi kuanzia tarehe 19/08/2019 hadi tarehe 23/08/2019 kuanzia saa 800 mchana hadi saa 10001ioni isipokuwa siku za Jumamosi na Jumapil’L
  • Siku ya ufungaji kwa zabuni hii ni tarehe 26.08.2019 saa 5 asubuhi. Baada ya hapo majibu ya waombaji yatafunguliwa na kusomwa mbele ya waombaji wote watakaohudhuria siku hiyo. Zoezi hili litafanyika kwenye ofisi za makao makuu ya Vodacom Ghorofa ya 7 kwenye jengo la Vodacom Tower karibu na Kituo cha mabasi cha Morocco.
  • Kampuni yenye zabuni ya juu kuljko zote ndio itakayoshinda. Vifaa vyote vitauzwa kama vilivyo.
  • Mnunuzi atatakiwa kulipa asilimia mia moja (100%) ya bei iliyokubaljwa kwa kufanya malipo kan’ka akaunti ya benki ya Vodacom atakayopewa baada ya kushinda zabuni. Malipo yafanyike ndani ya siku 3 baada ya kusainisha Mkataba wa Mauziano.
    Mnunuzi atatakiwa kuljpa ushuru wa forodha na kodi ya ongezeko la thamani kulingana na maelekezo ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kabla ya kuchukua Vifaa husika.
  • Uchukuaji wa vifaa viljvyonunuljwa ni jukumu la mnunuzi ikisimamiwa na maoflsa wa NEMC pamoja na maofnsa wa idara ya Mazingira ya Manispaa ya Kinondoni katika siku itakayopangwa baada ya kusainisha Mkataba wa Mauziano na mshindi wa Zabuni.
  • Vifaa vyote vitakavyouzwa vichukuliwe kutoka kwenye ghala lililotaiwa hapo juu kabla au mnamo siku ya ljumaa tarehe 30/08/2019 saa 11.00 jioni.
  • Hakuna Kiingiljo cha ushiriki ka’u’ka Zabuni hii.
  • Washir1ki wanatakiwa kuambata’nisha taarifa za benki (bank statement) kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita kwa ajili ya uthibitjsho wa uwezo wa kifedha
  • Makampuni yenye nia ya kununua vifaa hivyo yaflke kwenye oflsi za Makao Makuu Vodacom Vodacom Tower. Ghorofa ya Saba kwa ajili ya kupata ufafanuzi wa taratjbu wa Zabuni au wapige Simu Namba 0754 711810 kwa maelekezo zaidi.

ASANTENI

Source; Mwananchi
Date published: 19/08/2019
30/8

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related