KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA
(Evangelical Lutheran church in Tanzania)
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
(Eastern and Coastal Diocese)
JIMBO LA KASKAZINI
(Northern District)
Usharika wa Ubungo – Mtaa wa Kinzudi
TANGAZO LA ZABUNI
Mtaa wa Kinzudi unatangaza zabuni kwa ajili ya ununuzi wa vyombo vya muziki kwa ajili ya matumizi ya kuendesha ibada, kwaya, matamasha na semina mbalimbali zinazofanyika kanisani kama ifuatavyo.
Kumbukumbu ya zabuni KKKT/DMP/UBUNGO/KINZUDI/05-2021/Lot 1.
Tarehe ya kuchukua zabuni ni jumapili tarehe 08/08/2021 mpaka jumatano tarehe 11/08/2021. Mwisho wa kupokea zabuni ni Jumamosi tarehe 14/08/2021 saa 4:00 asubuhi
Siku ya kufungua zabuni ni tarehe 14/08/2021 saa 4:00 asubuhi.
Siku ya kutangaza mzabuni aliyeshinda: 14/08/2021 saa 4:00 asubuhi
Maelezo ya zabuni namba KKKT/DMP/UBUNGO/KINZUDI/05-2021/Lot 1 ni kama ifuatavyo
Drum shield – 1 no
Amplifier (7500W – 1 no
Wireless Mic (100) – 1 no
Mixer Rack – 1 no
Amplifier Rack – 1 no
Snake Cables (32 channel/50M) – 1 no
Bass Speaker (single bass 3500) Inport – 2 no
Speaker Monitor (800W) Inport – 2 no
Stabilizer (10000W)- 1 no
Mwisho panapohitajika Maelezo na ufafanuzi kuhusu maelezo tajwa hapo juu.
Tunaomba mawasiliano yote yapelekwe ofisi ya KKKT DMP JIMBO LA KASKAZINI, USHARIKA WA UBUNGO – MTAA WA KINZUDI.
NAMBA YA SIMU: +225784339345
EMAIL: [email protected]
Office of Pastor in Charge
Dar es salaam – Tanzania