DDC

Zabuni ya Kupangisha Vyumba vya Maduka Saba Katika Eneo Dogo La DDC Keko

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

SHIRIKA LA UCHUMI LA JIJI LA DAR ES SALAAM

NAMBA YA KOTESHENI PA/117/2019/2020/NC/15

KUPANGISHA VYUMBA VYA MADUKA SABA KATIKA ENEO DOGO LA DDC KEKO MWALIKO WA KOTESHENI YA UPANGISHAJI

  1. Mwaliko huu wa kotesheni unatafuta tangazo la jumla la Ununuzi (TJU) kwaajili ya shirika la uchumi la jiji la Dar es Salaam kwa mwaka 2019/2020 wa fedha unaoonekana katika tovuti ya PPRA
  2. SERKALI YA Jamuhuri ya Muungno wa Tanzania imetenga fedha kwaajili ya uendeshaji wa Shirika la Uchumi la Jiji la Dar katika mwaka wa fedha 2019/2020. Inakusudiwa kupata wapagaji kwaajili ya kupnga vyumba vya maduka 7 katika eneno la DDC Keko
  3. Waombaji wanakaribishwa kuchukua kabrasha la kotesheni kwa gharama ya shilingi 50,000 fedha ambazo hazitarudishwa. Waombaji wantakiwa kufanya malipo kwenye akaunti namba Tanzania Postal Bank account No. 120208000001, Account Name Dar es Salaam Dvelopment Corporation, kwaajli ya kupangisha maduka saba katika eneo la DDC
  4. KOTESHENI ZOTE ZIWE NA NAKALA halisi na nakala kivuli mbili zinanzofanana, zilizojazwa kwa usahihi na zilizowekwa kwenye bahasha isiyo na maandishi juu na kuandikwa “kotesheni na. PA/117/2019/2020/NC/15 Kukodisha vyumba vya maduka katika eneo la DDC Keko. Ni lazima kupelekwa kwa Meneja Mkuu Shirika la Uchumi la Jiji la Dar es Salaa, S.L.P 1330, Dar es Salaam
  5. Siku ya mwisho ya kuwsilishakoteesheni ni tarehe 24/01/2020 siku ya ijumaa kabla ya saa nne asubuhi kotesheni zote zitafunguliwa hadaharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha mbele ya wawakilishi wa waombaji wanaoamua kuhudhuria katika ufunguaji wa dhabuni katika ukumbi wa shirika la uchumi jiji la dar es salaam mtaa wa msimbazi- kariakoo S.L.P 1330 dar es salaam
  6. Kotesheni zote zitakazochelewa, sehemu ya kotesheni, kotesheni za ki electroniki, na kotesheni zisizofungwaliwa katika tukio la ufunguaji kotesheni kwa hali yoyote ile koteshsni hizo hazitakubaliwa kwa tathimini
  7. Mwombaji atatakiwa kurudisha zabuni husika ikiwa imefungwa viziri na uipeleke kwa katibu Bodi ya zabuni Dar es Salaam Development Corporation, utaje zabuni namba na namba ya chumba cha biashara unayoomba. Kumbuka maduka yanayopangishwa yanaanzia namba 3 hadi 9 pia yameonyeswhwa katika sehemu ia II ya maelekezo ya mahitaji ya orodha ya bei kwenye kabrasha la zabuni

MINAEL H MSHANGA,
MENEJA MKUU
SHIRIKA LA UCHUMI JIJI LA DAR ES SALAAM.

Chanzo Daily News 10 January 2020

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related