TARURA

Zabuni ya Ukusanyaji wa Ada za Maegesho ya Vyombo Wa Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara Zilizo (Chini Ya Tarura Katika Manispaa Ya Morogoro

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI (TARURA)

TANGAZO LA ZABUNI

ZABUNI NA AE/092/2019/2020/MOR/NC/01

YA

UKUSANYAJI WA ADA ZA MAEGESHO YA VYOMBO WA USAFIRI KWENYE HIFADHI ZA BARABARA ZILIZO (HINI YA TARURA KATIKA MANISPAA YA MOROGORO

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) Mkoa wa Morogoro unakusudia kutumia Mtoa Huduma kutoza ada za maegesho ya vyombo vya usaflri katika maeneo ya hifadhi za barabara zote zilizo Chini ya usimamizi wake katika Manispaa ya Morogoro.

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) unapenda kuwakaribisha waombaji wenye sifa kutuma maombi yao kwa ajili ya zabuni ya Ukusanyaji wa Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usajiri kwenye Hifadhi za Barabara Zilizo Chini ya TARURA katika Manispaa ya Morogoro Zabuni Namba AE/092/2019/2020/MOR/NC/01.

Mwombaji atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
· Mwombaji awe ni Kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Tanzania na ambayo haijawahi kuzuiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kujihusisha na shughuli za Ununuzi wa Umma.
· Mwombaji awe na 005i ya kudumu anapofanyia kazi zake.
· Mwombaji awe na leseni hai ya biashara ya Uwakala wa Ukusanyaji wa ada, ushuru au kodi mbalimbali.
· Mwombaji awe na uzoefu usiopungua miaka miwili kuanzia mwaka 2014 kwenye kazi ya uwakala wa utozaji wa ada, ushuru au kodi kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali.
· Mwombaji awe na hati halali ya kuthibitisha ulipaji wa kodi (Tax Clearance).
· Mwombaji awe na cheti cha utambulisho wa mlipa kodi (TIN).
· Mwombaji awe amesajiiiwa kulipa kodi ya ongezeko la thamani
(VAT).
· Mwombaji awe na taarifa za kifedha zilizokagunwa (Audited Financial Statement) kwa kipindl cha , miaka mitatu kuanzia 2016 hadi 2018.
· Mwombaji awe na cheti cha OSHA kinachoonyesha kukidhi matakwa ya Sheria Na. 5 ya Mwaka 2003. Muombaji awe na Mtaji usiopungua Shilingi Milioni Thelathini (TZS. 30,000,000.00) Mwombaji awe na kiapo cha kuthibitisha kwamba hajawahi kutiWa hatiani na Mahakama katika mashauri yanayotokana na rushwa au kukosa uaminifu katika mikataba Taasisi yoyote ya Serikali.

Zabuni zitashughulikiwa kwa ubaratibu wa ushindani wa kitaifa [National Competitive Bidding] ulioainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013, zikisomwa pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016 ha ziko wazi kwa waombaji wote wa hapa nchini.

Waombaji wote wenye nia na uwezo wanaweza kupata taarifa kamili kupitia makabrasha ya zabuni katika ofisi ya Katibu wa bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa Morogoro kupitla anuanl Iliyotalwa kwenye Kipengele Na 7 hapa chini kwa siku kuanzia saa moja na nusu (7.30) asubuhi hadl saa tisa na nusu (09:30) alasiri siku za Jumatatu ham Ijumaa isipokuwa slku za mwisho wa juma na slku za sikukuu ztnazotambullka i kiwfa}.

Mwombaji atatakiwa kujaza kwa usahihi na kuwasilisha Fomu ya dhamana ya zabunl (Tender Securing Declaration) kwa muundo unaopatikana kwenye kabrasha Ia zabuni.

Nyaraka za Zabuni zitapatikana baada ya kulipa ada stahiki ya zabuni ya Shillingi Laki Moja tu (TZS. 100,000.00) Kupitia akaunti ya TARURA Collection Account, Na. 53010001080; NMB Tawi Ia Kambarage baada ya kupewa “Control Number” na ofisi ya TARURA Morogoro. Mwombaji atatakiwa kuwasilisha nakala ya stakabadhi na barua ya maombi ya Zabuni husika. Malipo yatakayotolewa kama ada ya maombi ya zabuni hayatarejeshwa.

Zabuni zote ziwe na nakala halisi (original) moja (1) na nakala (copies) tatu (3) zinazofanana zifungwe ndani ya bahasha iliyofungwa kwa lakiri na juu ya bahasha ziandikwe maelezo ya Zabuni na kisha iandikwe na kuwasilishwa kwa anwani ifuatayo: Katibu, Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa Morogoro, 5L. P. 6766, Morogoro, Jengo la Shirika Ia nyumba Ia Taifa (NHC) ghorofa ya pili lililopo old DSM road, mkabala na kituo cha mabasi madogo Morogoro mjini.

Siku ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya zabuni ni siku ya Ijumaa tarehe 27/12/2019 kabla ya 533 05:00 asubuhi. Zabuni zitafunguliwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha zabuni. waombaji wote au wawakilishi wao wanaalikwa kuhudhuria ufunguzi wa zabuni hizo utakao fanyika siku hiYO katika ofisi ya Mratjbu wa TARURA Mkoa wa Morogoro.

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) hautalazimika kukubali/ kutokukubali kut0a zabuni kwa mwombaji yeyote kutokana na kigezo cha malipo makubwa/malipo kidogo ya zabuni.

Zabuni zitakazochelewa kuwasilishwa, zabuni za kielektroniki, na zabuni zlsizofunguliwa katika tukio Ia ufunguaji zabuni, kwa hali yoyote ile hazitakuballwa kwa tathmini.

MRATIBU WA MKOA
WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI TANZANIA (TARURA)

Barua pepe: [email protected]

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related