
Tangazo la Uuzaji Wa Miti Ya Misaji Iliyopandwa Kwenye Mipaka Ya Misitu Ya Hifadhi Kwa Njia Ya Mnada Katika Wilaya Ya Muheza Na Hifadhi Ya Mazingira Asili Nilo (Korogwe)
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA TANGAZO UUZAJI WA MITI YA MISAJI ILIYOPANDWA KWENYE MIPAKA