Halmashauri ya Manispaa ya Musoma
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kusafisha vyombo vya kupikia
ii.Kusafisha vyombo vya kulia chakula
iii.Kusafisha sehemu ya kulia chakula
iv.Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa vya kazi
v.Kusafisha maeneo ya kupikia
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa Kitado cha IV wenye cheti cha mafunzo ya Uhudumu wa Jikoni kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali
APPLICATION TIMELINE: 2024-11-21 2024-11-30
.