utumishi

Nafasi ya kazi :- MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (RE-ADVERTISED) – 1 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo 

   katika eneo lake,

ii) Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala 

    ya maendeleo katika eneo lake

iii) Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo.

iv) Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake,

v) Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila 

    mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi,

vi) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo.

vii) Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia 

     fursa na rasilimali zinazowazunguka.

viii) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.

APPLICATION TIMELINE: 2024-11-21 2024-11-30

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related