serikali

NAFASI YA KAZI :- MTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram
POSTMTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POST
EMPLOYERHalmashauri ya Wilaya ya Ludewa
APPLICATION TIMELINE:2024-02-21 2024-03-05
JOB SUMMARYNIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES(i) Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji
(ii) Katibu wa Kamati ya kijiji
(iii) Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri  katika Kijiji
(iv) Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.
(v) Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji
(vi) Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala  ya Ulinzi na Usalama.(vii) Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji.
(viii) Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.
(ix) Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

CLICK HERE TO APPLY

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related